Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 3:10-11 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 3:10-11 in Biblia ya Kiswahili

10 na ndipo ghala zako zitajaa na mapipa makubwa yatafurika kwa divai mpya.
11 Mwanangu, usidharau kuadibishwa na Yohova na wala usichukie karipio lake,
Mithali 3 in Biblia ya Kiswahili