Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 31:25-27 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 31:25-27 in Biblia ya Kiswahili

25 Amevaa nguvu na heshima, na wakati ujao huucheka.
26 Anafumbua kinywa chake kwa hekima na sheria ya ukarimu ipo kwenye ulimi wake.
27 Huangalia njia za nyumba yake na hawezi kula mkate wa uvivu.
Mithali 31 in Biblia ya Kiswahili