Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 28:16-18 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 28:16-18 in Biblia ya Kiswahili

16 Mtawala anayekosa ufahamu ni mkandamizaji katili, bali mwenye kuchukia aibu atadumu katika siku zake.
17 Kama mtu anahatia kwa sababu amemwaga damu ya mtu, atakuwa mkimbizi hadi kifo na hakuna atakayemsaidia.
18 Mwenye kuenenda kwa ukaminifu atakuwa salama, bali mwenye njia ya udanganyifu ataanguka ghafla.
Mithali 28 in Biblia ya Kiswahili