Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 26:23-24 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 26:23-24 in Biblia ya Kiswahili

23 Kioo kinachofunika chombo cha udongo ni kama midomo inayoungua na moyo mbaya.
24 Yule ambaye huwachukia wengine huficha hisia zake kwa midomo na hufunika uongo ndani yake mwenyewe.
Mithali 26 in Biblia ya Kiswahili