Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 24:32-33 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 24:32-33 in Biblia ya Kiswahili

32 Kisha nikaliona na kufikiria juu yake; nikatazama na kupokea mafundisho.
33 Kulala kidogo, kusinzia kidogo, kupumzika kwa kukunja mikono kidogo-
Mithali 24 in Biblia ya Kiswahili