Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 24:29-30 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 24:29-30 in Biblia ya Kiswahili

29 Usiseme, “Mimi nitamtendea kile alichonitendea; nitalipiza kwa kile alichofanya.”
30 Nilikwenda jirani na shamba la mtu mvivu, nikapita kwenye shamba la mzabibu la mtu asiye na akili.
Mithali 24 in Biblia ya Kiswahili