Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 24:28-30 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 24:28-30 in Biblia ya Kiswahili

28 Usitoe ushahidi dhidi ya jirani yako bila sababu na usidanganye kwa midomo yako.
29 Usiseme, “Mimi nitamtendea kile alichonitendea; nitalipiza kwa kile alichofanya.”
30 Nilikwenda jirani na shamba la mtu mvivu, nikapita kwenye shamba la mzabibu la mtu asiye na akili.
Mithali 24 in Biblia ya Kiswahili