Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 24:24-26 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 24:24-26 in Biblia ya Kiswahili

24 Anayemwambia mwenye hatia, “Wewe upo sawa,” atalaaniwa na watu na mataifa yatamchukia.
25 Bali wenye kuwakemea waovu watakuwa na furaha na zawadi za wema zitakuja kwao.
26 Anayetoa jibu la kweli hutoa busu kwenye midomo.
Mithali 24 in Biblia ya Kiswahili