Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 24:23-24 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 24:23-24 in Biblia ya Kiswahili

23 Haya ni maneno ya wenye busara pia. Upendeleo katika kuhukumu kesi kwa sheria si vizuri.
24 Anayemwambia mwenye hatia, “Wewe upo sawa,” atalaaniwa na watu na mataifa yatamchukia.
Mithali 24 in Biblia ya Kiswahili