Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 24:22-23 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 24:22-23 in Biblia ya Kiswahili

22 maana kwa ghafula msiba wao utakuja na ni nani ajuaye ukubwa wa uharibifu utakao kuja kutoka kwa hao wote?
23 Haya ni maneno ya wenye busara pia. Upendeleo katika kuhukumu kesi kwa sheria si vizuri.
Mithali 24 in Biblia ya Kiswahili