Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 24:21-22 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 24:21-22 in Biblia ya Kiswahili

21 Mwanangu; mche Yehova, na umwogope mfalme, usishirikiane na watu wenye kuasi dhidi yao,
22 maana kwa ghafula msiba wao utakuja na ni nani ajuaye ukubwa wa uharibifu utakao kuja kutoka kwa hao wote?
Mithali 24 in Biblia ya Kiswahili