Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 24:19-20 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 24:19-20 in Biblia ya Kiswahili

19 Usifadhaike kwa sababu ya watenda mabaya, na wala usiwahusudu watu waovu,
20 maana mtu mbaya hana matumaini na taa ya watu waovu itazimika.
Mithali 24 in Biblia ya Kiswahili