Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 24:13-14 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 24:13-14 in Biblia ya Kiswahili

13 Mwanangu, kula asali kwa kuwa ni nzuri, kwa sababu matone ya sega la asali ni matamu unapoonja.
14 Hekima ndiyo ilivyo katika nafsi yako - kama utaitafuta, tumaini lako halitabatilika na kutakuwa na tumaini.
Mithali 24 in Biblia ya Kiswahili