Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 23:7-9 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 23:7-9 in Biblia ya Kiswahili

7 maana ni mtu mwenye kuhesabu gharama ya chakula. “Kula na kunywa!” anakuambia, lakini moyo wake haupo pamoja nawe.
8 Utatapika kiasi kidogo ulichokula na utakuwa umepoteza sifa zako njema.
9 Usiongee katika usikivu wa mpumbavu, maana atadharau hekima ya maneno yako.
Mithali 23 in Biblia ya Kiswahili