Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 23:24-26 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 23:24-26 in Biblia ya Kiswahili

24 Baba yake mwenye haki atafurahia sana, na yule amzaaye mtoto mwenye busara atamfurahia.
25 Mfurahishe baba yako na mama yako na yule aliyekuzaa afurahie.
26 Mwanangu, nipe moyo wako na macho yako yachunguze njia zangu.
Mithali 23 in Biblia ya Kiswahili