Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 23:14-17 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 23:14-17 in Biblia ya Kiswahili

14 Ni wewe unayepaswa kumchapa kwa fimbo na kuikoa nafsi yake kuzimu.
15 Mwanangu, kama moyo wako una busara, basi moyo wangu utafurahi pia;
16 sehemu zangu ndani kabisa zitafurahi sana midomo yako inaponena haki.
17 Usiruhusu moyo wako kuwahusudu wenye dhambi, lakini endelea kumcha Yehova siku zote.
Mithali 23 in Biblia ya Kiswahili