Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 23:12-17 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 23:12-17 in Biblia ya Kiswahili

12 Elekeza moyo wako katika mafundisho na masikio yako kwenye maneno ya maarifa.
13 Usizuie kuadilisha mtoto, maana ukimchapa kwa fimbo, hatakufa.
14 Ni wewe unayepaswa kumchapa kwa fimbo na kuikoa nafsi yake kuzimu.
15 Mwanangu, kama moyo wako una busara, basi moyo wangu utafurahi pia;
16 sehemu zangu ndani kabisa zitafurahi sana midomo yako inaponena haki.
17 Usiruhusu moyo wako kuwahusudu wenye dhambi, lakini endelea kumcha Yehova siku zote.
Mithali 23 in Biblia ya Kiswahili