Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 20:1-3 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 20:1-3 in Biblia ya Kiswahili

1 Divai ni dhihaka na kinywaji kikali ni mgomvi; anayepotea kwa kunywa hana busara.
2 Kumwogopa mfalme ni kama kumwogopa simba kijana aungurumaye, yeyote anayemkasirisha hutoa fidia ya maish yake.
3 Ni heshima kwa mtu yeyote kujiepusha na mafarakano, bali kila mpumbavu hurukia kwenye mabishano.
Mithali 20 in Biblia ya Kiswahili