Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 19:16-17 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 19:16-17 in Biblia ya Kiswahili

16 Yeye anayetii amri huyaongoza maisha yake, bali mtu asiyefikiri juu ya njia zake atakufa.
17 Mwenye ukarimu kwa masikini humkopesha Yehova na atalipwa kwa kile alichofanya.
Mithali 19 in Biblia ya Kiswahili