Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 19:1-3 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 19:1-3 in Biblia ya Kiswahili

1 Bora mtu masikini ambaye huenenda katika uadilifu wake kuliko mwenye ukaidi katika maneno yake na ni mpumbavu.
2 Tena, si vizuri kuwa na hamu bila maarifa na mwenye kukimbia haraka sana hukosea njia.
3 Upuuzi wa mtu unaharibu maisha yake na moyo wake hughadhabika dhidi ya Yehova.
Mithali 19 in Biblia ya Kiswahili