Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 17:20-22 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 17:20-22 in Biblia ya Kiswahili

20 Mtu mwenye moyo wa udanganyifu hapati chochote ambacho ni chema; na mwenye ulimi wa ukaidi huanguka kwenye janga.
21 Mzazi wa mpumbavu huleta majonzi kwake mwenyewe; baba wa mpumbavu hana furaha.
22 Moyo mchangamfu ni dawa njema, bali roho iliyopondeka hukausha mifupa.
Mithali 17 in Biblia ya Kiswahili