Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 16:2-4 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 16:2-4 in Biblia ya Kiswahili

2 Njia zote za mtu ni safi kwenye macho yake mwenyewe, bali Yehova huipima mioyo.
3 Kabidhi kwa Yehova kazi zako zote na mipango yako itafanikiwa.
4 Yehova alifanya kila kitu kwa kusudi lake, hata waovu kwa ajili ya siku ya taabu.
Mithali 16 in Biblia ya Kiswahili