Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 15:19-20 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 15:19-20 in Biblia ya Kiswahili

19 Mapito ya mtu goigoi ni kama sehemu yenye uwa wa miiba, bali mapito ya mtu mwadilifu ni njia kuu iliyojengwa imara.
20 Mwana mwenye busara huleta furaha kwa baba yake, bali mtu mpumbavu humdharau mama yake.
Mithali 15 in Biblia ya Kiswahili