Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 15:14-17 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 15:14-17 in Biblia ya Kiswahili

14 Moyo wa mwenye ufahamu hutafuta maarifa, bali kinywa cha wapumbavu hujilisha kwenye upuuzi.
15 Siku zote za watu waliokandamizwa ni taabu, bali moyo wenye furaha unakaramu daima.
16 Bora kitu kidogo pamoja na kumcha Mungu kuliko hazina kubwa pamoja na ghasia.
17 Bora mlo wenye mboga kukiwa na upendo kuliko kuandaliwa ndama aliyenona kwa chuki.
Mithali 15 in Biblia ya Kiswahili