Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 12:26-28 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 12:26-28 in Biblia ya Kiswahili

26 Mwenye haki ni kiongozi kwa rafiki yake, bali njia ya waovu huwaongoza katika kupotea.
27 Watu wavivu hawawezi kubanika mawindo yao wenyewe, bali mtu wenye bidii atapata mali zenye thamani.
28 Wale ambao wanatembea katika njia ya haki wanapata uzima na katika mapito hayo hakuna kifo.
Mithali 12 in Biblia ya Kiswahili