Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Mithali - Mithali 12

Mithali 12:26-28

Help us?
Click on verse(s) to share them!
26Mwenye haki ni kiongozi kwa rafiki yake, bali njia ya waovu huwaongoza katika kupotea.
27Watu wavivu hawawezi kubanika mawindo yao wenyewe, bali mtu wenye bidii atapata mali zenye thamani.
28Wale ambao wanatembea katika njia ya haki wanapata uzima na katika mapito hayo hakuna kifo.

Read Mithali 12Mithali 12
Compare Mithali 12:26-28Mithali 12:26-28