Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 12:17-19 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 12:17-19 in Biblia ya Kiswahili

17 Asemaye ukweli huongea ilivyo haki, bali shahidi wa uongo huongea uongo.
18 Maneno yake asemaye kwa pupa ni kama kurusha upanga, bali ulimi wa mwenye hekima huleta uponyaji.
19 Midomo yenye kweli itadumu milele, bali ulimi wa uongo ni kwa kitambo kidogo tu.
Mithali 12 in Biblia ya Kiswahili