Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 10:25-27 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 10:25-27 in Biblia ya Kiswahili

25 Waovu ni kama dhoruba inayopita, na hawapo tena, bali mwenye haki ni msingi unaodumu milele.
26 Kama siki kwenye meno na moshi kwenye macho, ndivyo alivyo mvivu kwa wale waliomtuma.
27 Hofu ya Yehova huongeza maisha, bali miaka ya waovu itakuwa mifupi.
Mithali 10 in Biblia ya Kiswahili