Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mhubiri 7:28-29 in Swahili (individual language)

Help us?

Mhubiri 7:28-29 in Biblia ya Kiswahili

28 Hii ndiyo bado natafuta, lakini bado sijapata. Sikupata mwanamme mmoja mwenye haki miongoni mwa elfu, lakini sikupata mwanamke miongoni mwa wale wote.
29 Nimegundua hili: kwamba Mungu alimuumba binadamu akiwa mnyoofu, lakini wametoka katika hali ya unyofu wakitafuta magumu mengi.
Mhubiri 7 in Biblia ya Kiswahili