Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mhubiri 7:16-18 in Swahili (individual language)

Help us?

Mhubiri 7:16-18 in Biblia ya Kiswahili

16 Usiwe mwenye haki katika macho yako mwenyewe. Kwa nini kujiharibu mwenyewe?
17 Usiwe mwovu sana au mpumbavu. Kwa nini ufe kabla ya wakati wako?
18 Ni vyema kwamba ushike hekima hii, na kwamba usiache haki iende zake. Kwa kuwa mtu amchae Mungu atatimiza ahadi zake zote.
Mhubiri 7 in Biblia ya Kiswahili