Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mhubiri 1:15-16 in Swahili (individual language)

Help us?

Mhubiri 1:15-16 in Biblia ya Kiswahili

15 Palipopinda hapawezi kunyoshwa! Kisicho kuwepo hakiwezi kuhesabiwa!
16 Nimeuambia moyo wangu nikisema, “Tazama, nimepata hekima kubwa kuliko walioishi Yerusalemu kabla yangu. Akili yangu imeona hekima kubwa na ufahamu.”
Mhubiri 1 in Biblia ya Kiswahili