Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mhubiri 12:2-3 in Swahili (individual language)

Help us?

Mhubiri 12:2-3 in Biblia ya Kiswahili

2 fanya hivi kabla ya nuru ya jua na mwezi na nyota havijawa giza, na mawingu kurudi baada ya mvua.
3 Huo utakuwa wakati ambapo mlinzi wa ikulu atatetemeka, na wanaume imara wameinama, na wanawake wanao saga kukoma, kwa sababu ni wachache, na wale wanao chungulia dirishani hawaoni vizuri tena.
Mhubiri 12 in Biblia ya Kiswahili