Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mathayo 10:32 in Swahili (individual language)

Help us?

Mathayo 10:32 in Biblia Takatifu

32 “Kila mtu anayekiri hadharani kwamba yeye ni wangu, mimi pia nitamkiri mbele ya Baba yangu aliye mbinguni.
Mathayo 10 in Biblia Takatifu

Mathayo 10:32 in Biblia ya Kiswahili

32 Hivyo basi kila mmoja atakaye nikiri mbele za watu, nami pia nitamkiri mbele ya Baba yangu aliye mbinguni.
Mathayo 10 in Biblia ya Kiswahili