Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Matendo 16:23 in Swahili (individual language)

Help us?

Matendo 16:23 in Biblia Takatifu

23 Baada ya kupigwa sana wakatiwa ndani, na askari wa gereza akaamriwa kuwaweka chini ya ulinzi mkali.
Matendo 16 in Biblia Takatifu

Matendo ya Mitume 16:23 in Biblia ya Kiswahili

23 Baada ya kuwachapa viboko vingi, waliwatupa gerezani na kumuamuru askari wa gereza kuwalinda vyema.
Matendo ya Mitume 16 in Biblia ya Kiswahili