Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Matendo 10:14 in Swahili (individual language)

Help us?

Matendo 10:14 in Biblia Takatifu

14 Petro akajibu, “La, Bwana; mimi sijaonja kamwe chochote ambacho ni najisi au kichafu.”
Matendo 10 in Biblia Takatifu

Matendo ya Mitume 10:14 in Biblia ya Kiswahili

14 Lakini Petro akasema “Siyo hivyo, Bwana kwa sababu sijawahi kula kitu chochote najisi na kichafu.
Matendo ya Mitume 10 in Biblia ya Kiswahili