Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Matendo 12:13 in Swahili (individual language)

Help us?

Matendo 12:13 in Biblia Takatifu

13 Petro alibisha mlango wa nje na mtumishi mmoja msichana aitwaye Roda, akaenda mlangoni kuitikia.
Matendo 12 in Biblia Takatifu

Matendo ya Mitume 12:13 in Biblia ya Kiswahili

13 Alipobisha kwenye mlango wa kizuizi, mtumishi mmoja msichana anayeitwa Roda akaja kufungua.
Matendo ya Mitume 12 in Biblia ya Kiswahili