Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mambo ya Walawi 2:5-6 in Swahili (individual language)

Help us?

Mambo ya Walawi 2:5-6 in Biblia ya Kiswahili

5 Kama matoleo yako ya nafaka yameokwa na kikaango cha chuma ni lazima iwe unga safi bila chachu uliochanganywa na mafuta.
6 Utagawanya katika vipande na kumwaga mafuta juu yake. Hii ni sadaka ya nafaka.
Mambo ya Walawi 2 in Biblia ya Kiswahili