Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Mambo ya Walawi - Mambo ya Walawi 2

Mambo ya Walawi 2:5-6

Help us?
Click on verse(s) to share them!
5Kama matoleo yako ya nafaka yameokwa na kikaango cha chuma ni lazima iwe unga safi bila chachu uliochanganywa na mafuta.
6Utagawanya katika vipande na kumwaga mafuta juu yake. Hii ni sadaka ya nafaka.

Read Mambo ya Walawi 2Mambo ya Walawi 2
Compare Mambo ya Walawi 2:5-6Mambo ya Walawi 2:5-6