Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Mambo ya Walawi - Mambo ya Walawi 26

Mambo ya Walawi 26:3-4

Help us?
Click on verse(s) to share them!
3Iwapo mtatembea katika sheria zangu na kuzishika amri zangu na kuzitii,
4Nami nitawapa ninyi mvua katika majira yake; nayo nchi itatoa mazao yake, na miti ya shambani itatoa matunda yake.

Read Mambo ya Walawi 26Mambo ya Walawi 26
Compare Mambo ya Walawi 26:3-4Mambo ya Walawi 26:3-4