Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mambo ya Walawi 21:18-19 in Swahili (individual language)

Help us?

Mambo ya Walawi 21:18-19 in Biblia ya Kiswahili

18 Mtu yeyote mwenye kasoro mwilini mwake asimkaribie Yahweh,
19 mtu kama vile: kipofu au mtu asiyeweza kutembea, mtu aliyeharibiwa uso au kupungukiwa na viungo mwilini, mtu aliye na mguu au mkono wenye ulemavu,
Mambo ya Walawi 21 in Biblia ya Kiswahili