Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mambo ya Walawi 18:13-15 in Swahili (individual language)

Help us?

Mambo ya Walawi 18:13-15 in Biblia ya Kiswahili

13 Usilale na dada ya mama yako. Yeye ni ndugu wa mama yako.
14 Usimfedheheshe ndug wa baba yako kwa kulala na mke wake. Usimkaribie kwa kusudi hilo; yeye ni shangazi yako.
15 Usilale na binti- mkwe wako, Yeye ni mke wa mwanao; usilale naye.
Mambo ya Walawi 18 in Biblia ya Kiswahili