Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mambo ya Walawi 15:11-12 in Swahili (individual language)

Help us?

Mambo ya Walawi 15:11-12 in Biblia ya Kiswahili

11 Ambaye anamajimaji kama hayo akimgusa kabla kwanza ya kuosha kwa maji safi mikono yake, mtu aliyeguswa lazima afue nguo zake na aoge katika maji, na atakuwa najisi mpaka jioni.
12 Chungu chochote cha udongo ambacho ambaye anamajimaji kama hayo akigusa lazima kivunjwe, na kila chombo cha mti lazima kioshwe na maji safi.
Mambo ya Walawi 15 in Biblia ya Kiswahili