Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Luka 18:8-9 in Swahili (individual language)

Help us?

Luka 18:8-9 in Biblia Takatifu

8 Nawaambieni atawatetea upesi. Hata hivyo, je, kutakuwako na imani duniani wakati Mwana wa Mtu atakapokuja?”
9 Halafu Yesu aliwaambia pia mfano wa wale ambao walijiona kuwa wema na kuwadharau wengine.
Luka 18 in Biblia Takatifu

Luka 18:8-9 in Biblia ya Kiswahili

8 Nawaambia kwamba ataleta haki kwao upesi. Lakini wakati Mwana wa Adamu atakapokuja, je, atakuta imani duniani?'
9 Ndipo akawaambia mfano huu kwa baadhi ya watu ambao wanajiona wenyewe kuwa wenye haki na kuwadharau watu wengine,
Luka 18 in Biblia ya Kiswahili