Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Hesabu 26:65 in Swahili (individual language)

Help us?

Hesabu 26:65 in Biblia ya Kiswahili

65 Kwa BWANA alikuwa amesema kuwa kwa hakika watu hao wote wangefia jangwani. Hapakuwa na mtu aliyebaki miongoni mwao, isipokuwa Kalebu mwana wa Yefune na Joshua mwana wa Nuni.
Hesabu 26 in Biblia ya Kiswahili