Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Hesabu 24:2-3 in Swahili (individual language)

Help us?

Hesabu 24:2-3 in Biblia ya Kiswahili

2 Akayainua macho yake na kumwona Isreli akiwa kwenye kambi, kila mmoja kwa kabila yake, na Roho wa Mungu akamjia.
3 Akapokea huu unabii na kusema, “Balaamu mwana wa Beori anataka kusema, yeye ambaye macho yake yemefunuliwa sana.
Hesabu 24 in Biblia ya Kiswahili