Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

3 Yohana 1:2 in Swahili (individual language)

Help us?

3 Yohana 1:2 in Biblia Takatifu

2 Mpenzi wangu, nakutakia mafanikio mema ya kila aina; nakutakia afya njema ya mwili kama ulivyo nayo rohoni.
3 Yohana 1 in Biblia Takatifu

3 Yohana 1:2 in Biblia ya Kiswahili

2 Mpendwa, nakuombea ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya njema, kama vile roho yako inavyofanikiwa.
3 Yohana 1 in Biblia ya Kiswahili