Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

2 Wafalme 15:25 in Swahili (individual language)

Help us?

2 Wafalme 15:25 in Biblia ya Kiswahili

25 Pekahia alikuwa na afisa aliyekuwa anaitwa Peka mwana wa Remalia, ambaye alifanya njama dhidi yake. Pamoja na watu hamsini wa Gileadi, Peka akamuua Pekahia pamoja na Argobu na Arie katika Samaria, katika ngome ya nyumba ya mfalme. Peka akamuua alipomua Pekahia akawa mfalme katika mahala pake.
2 Wafalme 15 in Biblia ya Kiswahili