Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

2 Timotheo 1:7 in Swahili (individual language)

Help us?

2 Timotheo 1:7 in Biblia Takatifu

7 Kwa maana Mungu hakutupa Roho wa kutufanya tuwe waoga, bali alitupa Roho wa kutujalia nguvu, upendo na nidhamu.
2 Timotheo 1 in Biblia Takatifu

2 Timotheo 1:7 in Biblia ya Kiswahili

7 Kwa kuwa Mungu hakutupa roho ya woga, bali ya nguvu na upendo na nidhamu.
2 Timotheo 1 in Biblia ya Kiswahili