Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

1Wafalme 8:50-51 in Swahili (individual language)

Help us?

1Wafalme 8:50-51 in Biblia ya Kiswahili

50 Wasamehe watu wako waliotenda dhambi dhidi yako, na dhambi zao zote ambazo kwazo wamekukosea wewe dhidi ya amri zako. Uwahurumie mbele ya maadui zao ambao waliwachukua mateka, ili kwamba maadui zao pia wawahurumie watu wako.
51 Hawa ni watu wako uliowachagau, ambao uliwaokoa toka nchi ya Misri kama kwamba walikuwa katikati ya tanuru amabamo vyuma huyeyushwa.
1Wafalme 8 in Biblia ya Kiswahili