Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

1Wafalme 4:12-13 in Swahili (individual language)

Help us?

1Wafalme 4:12-13 in Biblia ya Kiswahili

12 Baana mwana wa Ahiludi, wa Taanaki na Megido, na Beth Shani iliyo upande mwingine wa Zarethani chini ya Yezreel, Kutoak Bethi Shani mpaka Abeli Mehola iliyo upande mwingine wa Jokimeamu;
13 Ben Geberi, ya Ramothi Gileadi (kutoka kwake tunapata miji ya Yairi mwana wa Manase, ambayo iko Gileadi, na mkoa wa Arigobu ulikuwa wake, ambao uko Bashani, miji sitini yenye maboma na yenye nguzo za malango ya shaba);
1Wafalme 4 in Biblia ya Kiswahili